Mmawia JF-Expert Member Aug 20, 2013 121,955 95,277 Jun 2, 2020 Thread starter #41 Ndiyo maana tunasema hawa jamaa wana roho mbaya sawa na nyoka tu Shark said: Huyu jamaa angeuwawa kisa yuko chama tofauti na wewe, ungefaidika na nini? Au alivyouwawa Kamanda Alphonse Mawazo wewe umefaidika na nini? Click to expand...
Ndiyo maana tunasema hawa jamaa wana roho mbaya sawa na nyoka tu Shark said: Huyu jamaa angeuwawa kisa yuko chama tofauti na wewe, ungefaidika na nini? Au alivyouwawa Kamanda Alphonse Mawazo wewe umefaidika na nini? Click to expand...
bowlibo JF-Expert Member Dec 10, 2011 3,206 2,899 Jun 2, 2020 #42 Shark said: Huyu jamaa angeuwawa kisa yuko chama tofauti na wewe, ungefaidika na nini? Au alivyouwawa Kamanda Alphonse Mawazo wewe umefaidika na nini? Click to expand... Mawazo ni issue nyingine, vaa uhusika wa huyu jamaa Au tufanye hivi sisi chadema tuko mlimani city kama wote halafu nzi wa kijani mara kakatiza katikati hivi tutamwacha apite hivihivi? Sasa hapo kamanda alichofanya ni uchokozi
Shark said: Huyu jamaa angeuwawa kisa yuko chama tofauti na wewe, ungefaidika na nini? Au alivyouwawa Kamanda Alphonse Mawazo wewe umefaidika na nini? Click to expand... Mawazo ni issue nyingine, vaa uhusika wa huyu jamaa Au tufanye hivi sisi chadema tuko mlimani city kama wote halafu nzi wa kijani mara kakatiza katikati hivi tutamwacha apite hivihivi? Sasa hapo kamanda alichofanya ni uchokozi
Shark JF-Expert Member Jan 25, 2010 29,464 29,165 Jun 2, 2020 #43 bowlibo said: Mawazo ni issue nyingine, vaa uhusika wa huyu jamaa Au tufanye hivi sisi chadema tuko mlimani city kama wote halafu nzi wa kijani mara kakatiza katikati hivi tutamwacha apite hivihivi? Sasa hapo kamanda alichofanya ni uchokozi Click to expand... Njia imefungwa? Tofauti kuu ni itikadi. Hata mfano wako umetolea tofauti za itikadi?
bowlibo said: Mawazo ni issue nyingine, vaa uhusika wa huyu jamaa Au tufanye hivi sisi chadema tuko mlimani city kama wote halafu nzi wa kijani mara kakatiza katikati hivi tutamwacha apite hivihivi? Sasa hapo kamanda alichofanya ni uchokozi Click to expand... Njia imefungwa? Tofauti kuu ni itikadi. Hata mfano wako umetolea tofauti za itikadi?
Idugunde JF-Expert Member May 21, 2020 6,273 6,637 Jun 3, 2020 #44 Drone Camera said: Ya zamani sana 2017 sijui!! Ndo umeiona leo au habar mbaya kwa Tz siku hizi hamna? Click to expand... Hii ya mwaka 2012. Wanatafuta huruma kwa wananchi
Drone Camera said: Ya zamani sana 2017 sijui!! Ndo umeiona leo au habar mbaya kwa Tz siku hizi hamna? Click to expand... Hii ya mwaka 2012. Wanatafuta huruma kwa wananchi
Mmawia JF-Expert Member Aug 20, 2013 121,955 95,277 Jun 3, 2020 Thread starter #45 Ungekuwa unajua kwanini kuna kitu kinaitwa Historia usinge andika huu upotolo wako Idugunde said: Hii ya mwaka 2012. Wanatafuta huruma kwa wananchi Click to expand...
Ungekuwa unajua kwanini kuna kitu kinaitwa Historia usinge andika huu upotolo wako Idugunde said: Hii ya mwaka 2012. Wanatafuta huruma kwa wananchi Click to expand...
mr chopa JF-Expert Member Aug 26, 2016 5,305 13,640 Jun 3, 2020 #46 Fala tu huyo alikunywa viroba vyake akavamia mkutano wa CCM akiwa na tambara lake la chadema