Habari wakuu,hivi mradi wa Bomba la mafuta TAZAMA wanaajiri vipi,na vipi kuhusu marupurupu na mishahara inakuwaje? maana tokea nimeomba nafasi mwezi wa 9 sioni feedback yoyote