Ukifungua menyu ya kununua bando:View attachment 401496
Ukibonyeza 1:View attachment 401497
Yaani ukibonyeza moja kufuatilia kifurushi kilichoelezwa pale juu unakutana na maelezo mengine, huu ni utaratibu wa dunia ya ngapi mbona sielewi?
Akili kichwani mwako, bado mnadhani kuna bure duniani?Pia kuna promotion ya KAMATA MPUNGA ambayo wanadai kutoa TZS 1000,000 kwa kila siku, na TZS 5,000,000 kwa wiki lakini sijawahi kusikia washindi wakitangazwa redioni au magazetini au walau kutumiwa SMS
Ukifungua menyu ya kununua bando:View attachment 401496
Ukibonyeza 1:View attachment 401497
Yaani ukibonyeza moja kufuatilia kifurushi kilichoelezwa pale juu unakutana na maelezo mengine, huu ni utaratibu wa dunia ya ngapi mbona sielewi?
vidacom wamekuwa wakilalamikiwa mda mrefu sana kwa huduma zao nyingi zinazotiliwa shaka lakini serikali yetu imekaa kimya, wizara ya mawasiliano kimya, tuliyata wenyewe, wacha tusubiri tu 10 years...manake tukilalamika sana mwishowe watatuambia wachochezi...wacha tuumie kwani tulitaka kuumia wenyewe.Sasa vitu kama hivyo, serikali haivioni?
Au... hafu mi sielewi ujue!
Dawa nividacom wamekuwa wakilalamikiwa mda mrefu sana kwa huduma zao nyingi zinazotiliwa shaka lakini serikali yetu imekaa kimya, wizara ya mawasiliano kimya, tuliyata wenyewe, wacha tusubiri tu 10 years...manake tukilalamika sana mwishowe watatuambia wachochezi...wacha tuumie kwani tulitaka kuumia wenyewe.

––>hadi mtandao mwingine!umeona eheeDawa ni
![]()
![]()
![]()
![]()
––>hadi mtandao mwingine!