Tazama Protokali ilivyofelisha matamko mengi ya mawaziri hawa kutotekelezeka

5. Kuanzia sasa tumehamia Dodoma. Hatutarudi DSM Mr Jiwe.

Leo nimekwenda Stendi ya ubungo kupokea mzigo basi LA kutoka Dodoma nikamwambia kondakta mamba ya mzigo tukaenda kwenye boot ya basi ile anafungua tu tukakuta ndege aina ya tausi zile za ikulu dar ikatoka nduki ikapaa nikamuuliza konda akasema hii itakuwa imezamia toka chamwino imegoma kuhamia Dodoma
 
Kutokana na kutozingatiwa chain-of-Command; matamko haya yalishindwa kutekelezeka kabisa!

Sababu hayakuwa na maelekezo ya kimaandishi kwenda kwa katibu wa wizara husika ili yatekelezwe;

Nitanukuu machache:
  1. Natangaza kuyavunja rasmi mabaraza ya ofisi za jiji Nchini -By Lukuvi
  2. Natangaza kufuta rasmi stika za usalama barabarani hazina tija- Lugola
  3. Natangaza rasmi hakuna kulipia nguzo za umeme zitatolewa bure nchi nzima- Kalemani
  4. Natangaza wagombea wote wa upinzani ambao majina yao yaliondolewa uchaguzi serikali ya mtaa yarudishwe- Jafo
Waandishi wa habari nao wamelala usingizi wa pono hata hawajisumbui kufatilia Utekelezwaji wa matamko hayo!
matamko mwanzo mwisho
 
hahahahahhhhh
 
Hilo la nguzo za umeme ni kweli huhitaji kuzilipia ila watz huwa wanapenda kulipia ili wapate umeme mapema! Ndugu yangu kapata nguzo bure maeneo ya Chanika Buyuni ila amelipia tu line kuingizwa kwenye nyumba yake!
Kuna mjomba wangu juzi TABATA KALIPIA NGUZO MBILI LAKI SABA, Wamemwambia asubiri miezi mitatu watampelekea!
 
Back
Top Bottom