hakuna reference ya barua ya hayo maelekezo! Kwahiyo ni ya kupuuzwaHvi hizi stika ambazo tunapgwa fine kile leo kumbezimefutwa tayar?
kwani hujawahi sikia kwamba wananukuliwa vibaya? Serikali inafanya kazi kwa maagizo ya kimaandishi ndiyo maana matamko yao huwa kama story tu za kijiweniDaahh... Wanatuchezea akili zetu!! Maana sisi watanzania tunajua neno LA waziri ni kama sheria kumbe ni hewa!!? Kxtdkwysopfknlsrwuradosgpnsrwywin!!!!!!
Hvi hizi stika ambazo tunapgwa fine kile leo kumbezimefutwa tayar?
Acha tu mkuu kuna mmoja aliniotea mliman cty asbh na mapema namwambia niuzie stika anasema hana dah jamaa akaniandikia 30 fresh nkalipa...Bonny inaelekea ulishalipa fine tayari kama sio basi ulibishana sana na trafick
Usiiweke utanambia..........Hvi hizi stika ambazo tunapgwa fine kile leo kumbezimefutwa tayar?
Pole na siku yako ikavurugwaAcha tu mkuu kuna mmoja aliniotea mliman cty asbh na mapema namwambia niuzie stika anasema hana dah jamaa akaniandikia 30 fresh nkalipa...
Mwisho wa siku wanagundua haiwezekani baada ya tamko lakini wanauchuna wanaacha sintofahamu iendelee kuwavuruga wananchiHaya mambo wangekuwa wanayasema baada ya kuwa wamewasiliana ndani,sasa baadaye anajikuta katamka ila halitekelezeki
Ndiyo hapo wanafailMwisho wa siku wanagundua haiwezekani baada ya tamko lakini wanauchuna wanaacha sintofahamu iendelee kuwavuruga wananchi
Mku wewe ukiona palipopinda nyoooosha tu.Ndiyo hapo wanafail
Basi wawe wanayakanusha kuondoa sintofahamu kueneaNdiyo hapo wanafail
Ningumu kufanya ivyo hasa kwa namna wanavyopresent mbele ya cameraBasi wawe wanayakanusha kuondoa sintofahamu kuenea
Kwahiyo ni bora kuvurugana tuNingumu kufanya ivyo hasa kwa namna wanavyopresent mbele ya camera
Matamshi ya MBOWE kuhusu kujitoa uchaguzi wa serkali za mitaa yametekelezeka?Haya mambo wangekuwa wanayasema baada ya kuwa wamewasiliana ndani,sasa baadaye anajikuta katamka ila halitekelezeki
Wee nae unataka kubishana tu!Matamshi ya MBOWE kuhusu kujitoa uchaguzi wa serkali za mitaa yametekelezeka?
Haha maelekezo bila baraka za malaika yule ni bure mkuuKutokana na kutozingatiwa chain-of-Command; matamko haya yalishindwa kutekelezeka kabisa!
Sababu hayakuwa na maelekezo ya kimaandishi kwenda kwa katibu wa wizara husika ili yatekelezwe;
Nitanukuu machache:
Waandishi wa habari nao wamelala usingizi wa pono hata hawajisumbui kufatilia Utekelezwaji wa matamko hayo!
- Natangaza kuyavunja rasmi mabaraza ya ofisi za jiji Nchini -By Lukuvi
- Natangaza kufuta rasmi stika za usalama barabarani hazina tija- Lugola
- Natangaza rasmi hakuna kulipia nguzo za umeme zitatolewa bure nchi nzima- Kalemani
- Natangaza wagombea wote wa upinzani ambao majina yao yaliondolewa uchaguzi serikali ya mtaa yarudishwe- Jafo