Kutokana na kutozingatiwa chain-of-Command; matamko haya yalishindwa kutekelezeka kabisa!
Sababu hayakuwa na maelekezo ya kimaandishi kwenda kwa katibu wa wizara husika ili yatekelezwe;
Nitanukuu machache:
Sababu hayakuwa na maelekezo ya kimaandishi kwenda kwa katibu wa wizara husika ili yatekelezwe;
Nitanukuu machache:
- Natangaza kuyavunja rasmi mabaraza ya ofisi za jiji Nchini -By Lukuvi
- Natangaza kufuta rasmi stika za usalama barabarani hazina tija- Lugola
- Natangaza rasmi hakuna kulipia nguzo za umeme zitatolewa bure nchi nzima- Kalemani
- Natangaza wagombea wote wa upinzani ambao majina yao yaliondolewa uchaguzi serikali ya mtaa yarudishwe- Jafo