jmn kwa wanaomfaham wanadai si mchawi ila ni stress tu,inasekana mumewe amekuwa na madeni mengi sana ambayo itapelekea nyumba yao kuuzwa cku ya jmosi,uyo mwanamke kaangaika kwa kila namna kuzuia nyumba kuuzwa ila imeshindkana,ivyo akaenda kwa mganga,mganga ndo akamwambia aende barabarani avue nguo na kuna dawa almpa apake uku akimuelekeza kwenye simu,aliambiwa kuwa watu hawata muona kumbe amemdanganya cjui alkosea masharti ndo akakutwa,ukiangalia video unaona kabsa kavaa ear phone anacklza na yupo bize akijua haonekani
Sent using
Jamii Forums mobile app
Cc
kunduva