Tazama editors chapa ufisadi

Nsimbi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
1,091
1,202
Media inapita katika kipindi kigumu baadhi ya wahariri wake wanaogelea ufisadi. Baadhi Yao wanachekelea kuhongwa pesa ya kujenga Nyumba, harusi, magari Na hata mashamba.

Kuna kitu kinaitwa jukwaa la wahariri. Hawa ndio mamluki wa kuratibu maombi ya bahasha.
wabadili jina waitwe jukwaa la wala rushwa. Kwa sababu ya ulafi wa wachache media inachezezewa Kama katuni. Hata mct hawaminiki saaana. Tufanye nini kuiokoa media tz?
 
umenifurahisha. napenda watu bold. uliona wakati wa uchaguzi mkuu media ilikua imeshiba bahasha hadi kuamini upande gani ndio lazima washinde. matokeo yaliwatia taharuki hadi kushindwa kuonyesha bashasha kwa chaguo la wananchi.
 
Hii mada nzuri kweeli...yani usione waandishi wa habari sehem ujue wamepewa hela hawa hawa watangazaji wa habari hasa wa mikoani ukiona tuu leo sijui mkurugenzi wa shirika flani katoa msaada wa shingap ujue huyo mwandishi wa habari alilipwa!!its kind of marketing na wanasiasa pia wanawatumia sana
 
Kwa hiyo ungependa kuwaona waandishi wa habari wakisharipoti habari zao wakakae surender bridge wakiombaomba ,ndio ingekuwa furaha yako sio?.Waache wajenge,wanunue magari,na waishi maisha mazuri kwa kazi zao maana ndizo walizosomea.Rushwa,rushwa,umeiona kwa media peke yake?
 
umenifurahisha. napenda watu bold. uliona wakati wa uchaguzi mkuu media ilikua imeshiba bahasha hadi kuamini upande gani ndio lazima washinde. matokeo yaliwatia taharuki hadi kushindwa kuonyesha bashasha kwa chaguo la wananchi.

Wanasiasa Na baadhi ya matajiri wameharibu kabisa taaluma ya habari. Wakurugenzi majizi hawana wasiwasi. Wakitaka machafu yasitoke wanajua editors wa kuwahonga. Tatizo si njaa Bali ni tamaa Na kukosa uzalendo. Baadhi ya utajiri wa wahariri wengine hauna maelezo. Unafiki ndio silaha ya wahariri siku hizi. Tufanye nini kuinusuru taaluma.

Wahariri hawana moral authority ya kukemea maovu kwani baadhi Yao Ni ndumilakuwili. Wanaipaka rangi rushwa
 
Kwa hiyo ungependa kuwaona waandishi wa habari wakisharipoti habari zao wakakae surender bridge wakiombaomba ,ndio ingekuwa furaha yako sio?.Waache wajenge,wanunue magari,na waishi maisha mazuri kwa kazi zao maana ndizo walizosomea.Rushwa,rushwa,umeiona kwa media peke yake?
He mmesomea kushawishi Na kuomba rushwa!? Chuo gani cha journalism?
 
umenifurahisha. napenda watu bold. uliona wakati wa uchaguzi mkuu media ilikua imeshiba bahasha hadi kuamini upande gani ndio lazima washinde. matokeo yaliwatia taharuki hadi kushindwa kuonyesha bashasha kwa chaguo la wananchi.
Bashasha kwenye baadhi ya media ilikuwa zero baada ya chaguo la wengi kuibuka kidedea.
 
umenifurahisha. napenda watu bold. uliona wakati wa uchaguzi mkuu media ilikua imeshiba bahasha hadi kuamini upande gani ndio lazima washinde. matokeo yaliwatia taharuki hadi kushindwa kuonyesha bashasha kwa chaguo la wananchi.
Nakumbuka kuna mtangazaji mmoja mashuhuri kutoka TV maarufu aliyekuwa anaongoza vipindi vya uchaguzi kwenye TV hiyo,jina "silikumbuki" lakini anavaa suspender nae bashasha ilikata baada ya mgombea chaguo la wananchi kuwainua wananchi vitini kushangilia ushindi.
 
C

Chenge tibaijuka ngeleja wameingiaje kwenye mada hii. Majina mengine yanakukosesha usingizi mkuu. Poleee
Mpaka utumie akili kubwa sana kuelewa logic yangu.Maana watu mnajifanya kuwatoa wenzenu vibanzi machoni wakati wenye maborti mnawakenulia.Bahasha kwa media inawauma sana ila milioni kumi kununulia mboga mnakenua.....
 
We

We ndio utumie logic watu wachangia suala la waandishi. Wewe na chenge tibsijuka ngeleja. Au na wao ni waandishi wa habari. Au majina haya usipoyataja unakosa usingizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom