Taylor Swift Vs Katy Perry

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,145
Kwa wapenzi wa muziki wa rock/pop...mnawachukuliaje hawa wasanii!?
kimsingi mimi nimeshindwa kubaini nani ni zaidi ya mwenzake!!
 
Mimi sio mpenzi wa hao na siwafatilii sana ila it seems Taylor ni zaidi na ana mafanikio zaidi
 
Kwa wapenzi wa muziki wa rock/pop...mnawachukuliaje hawa wasanii!?
kimsingi mimi nimeshindwa kubaini nani ni zaidi ya mwenzake!!
katy perry kamzidi kidooogo taylor swift... naweza sikiliza album nzima ya katy perry bila kuskip wimbo ila taylor uwa na skip nyingi
 
katy perry kamzidi kidooogo taylor swift... naweza sikiliza album nzima ya katy perry bila kuskip wimbo ila taylor uwa na skip nyingi

Mimi mwenyewe albam yake ya "Prism" hakuna wimbo naweza kuuskip!!
But nampenda sana Taylor, vile tu alivyo!!
 
katy perry namkubali sana hasa album yake ya onee of the boys. huwa naisikiliza yote.
 
Nawapenda wote lakin Taylor's new album ni nomaaa!!
Bad blood
Style
Blank space
Those songs😍😍😍
 
Nawapenda wote lakin Taylor's new album ni nomaaa!!
Bad blood
Style
Blank space
Those songs😍😍😍

Humo ndani kuna Shake it off pia!! Zote hizi zimesumbua sana kwenye billboard chatt!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…