Mikoa 23 ya nchi gani fafanua ndiyo tuchangie
huku ukivaa nguo ya kijani wanazomea
ndugu zangu ukisikia mapinduzi ya kweli yaliyo wahi kutokea ni wazi yalianzishwa na vijana wa vyuo vikuu walio choshwa na mifumo kandamizi ktk nchi zao
tuanze na mifano michache zamani kabla ya kuwa na wasomi wengi wakolon walitusomeshea wazazi wetu wachache
lakin wale wachache mfano mwalimu nyerere alikuwa msomi wakati ule aliongoza wenzake ktk harakati xa kudai uhuru kamili wa nchi yetu Tanganyika japokuwa utawala wa mkolon ulikuwa umeimarika sana lakin nyerere kwakutumia mtandao wawasomi waliwaelimisha wengi na wakapata uhuru japo ilikuwa kwa mateso mengi sana
afrika kusini mzee nelson mandela naye aliongoxa mtandao wawasomi kwa mateso makubwa kupata uhuru kamili wa nchi yake leo ni nchi nzuri
na nyingi za afrika. hiyo yote nilitaka kurudisha mawazo yako hapa iliujitambue kama kijana na nafasi yako ktk ukombozi wa pili wa nchi yetu
ndugu xangu hii mitandao ya kijamii ni njia nzuri katika uhamasishaji wa mabadiliko sasa tunasisitiza vijana wasomi kuitumia ipasavyo kuhamasisha ili watu kupata elimu ya kutosha ya kimapinduz ya mabadiliko ktk taifa letu. tuwaelimishe watanzania umuhimu wa kuwa na kiongozi bora asiye kuja kulinda maslahi ya viongozi wenzake mwenye nia ya kuliinua pato la taifa na kuwa inua wananchi sio kuja kusimamia mikataba mibovu kwa maslahi yao binafsi sio kiongoxi mweka chama chake mbele bila kuzingatia wananchi wana hali gani
watu waliobaki ni ss vijana wasanii wa taifa hili wamesha tumiwa kwa maana hiyo wamefungwa midomo wameshakuwa makasuku wa taifa wa watawala kwa matakwa yao sasa sis tuchukuwe jukumu kupinga vikali hadharan bila kuogopa chochote tukiamini mapinduzi yataletwa kwa utashi wetu juu ya kiongozi tunaye mwitaji
ndug wasomi vyuo vikuu huu mtandao wa whats up umeshawahi kupindua serikali kadhaa kwa kutumia vijana wasomi waliokataa kutumika kwa maslahi ya wachache
angalien mhawanyo wa stahiki za uma zilivyo zimezingatia jina na nguvu aliyo nayo mtu ktk cheo chake
tukataen kuwa kati aina moja hii ya utawala tusisitize demokrasia tuwafundishe watu wote ubaya wa hiki chama tawala na mfumo wake tuwakatae ktk box la kura napia tuwe tayari kulipigania taifa letu hata ikifikia kupoteza uhai wetu
watuwetu hawana elimu bora, afya zao zinayumba hawana matumaini deni la taifa limepanda uchumi wa taifa umeshuka fedha yetu imeporomoka hatuna majibu ya matatizo ya watu wetu jamn tufundishe watu makanisan, misikitin na wasio na din tunalotaka taifa letu lile ambalo lilikuwepo kabla ya kutawaliwa
kijana mwenye uchungu na taifa hili atakuwa mzalendo na mwalimu ktk jamii aliopo ilikuwafundisha ndugu zetu watz juu ya nani atafaa kuliongoza taifa letu
tukataen hadharani mfumo wao na watu wao pia
kijana chukuwa hatua sasa nikwa moaka mitano tena kama hukuwa na kazi ujue hutaipata tena, maana sera zao ni zilezile waliuza viwanda na vingine wakaviuwa kwa ulafi leo hakuna ajira
wametupeleka vyuo vikuu tukasome ili tujekuwa ombaomba kwako
hawana sera kabisa mtawasikia cha zaidi watahonga fedha nyingi na vitisho vingi
vijana tuamuen sasa kesho mbali tutumie hii mitandao asiwepo wakulala mpaka ukombozi umekamilika
At a hao wanyama pori kura zao awawezi zipata,wanawaua ndugu zao tembo na kukata Magogo.mwaka huu walie tuNani kakuambia kuna mwananchi wa CCM TZ? Miaka 50 wezi wakubwa nyie, hakuna lolote mnatoa ahadi za uongo tu, kwa taarifa yenu Mtanzania wa mwaka 61 sio huyu wa 2015, labda mpigiwe kura na wanyama wa porini, tukutane October.
mkuu utajiju,Acha porojo, weka mikoa hiyo so that people can make their own analysis as of the situation seen on the ground
Habari za uhakika ambazo zimetoka sio UKAWA bali ndani ya CCM wakati wakipanga mikakati yao ya namna watakavyokampeni ,wamefikia hatua ya kusema ni lazima wafanye kampeni usiku na mchana, kwani habari au ripoti walizo nazo kutoka kwa vyanzo vyao vya habari ni kuwa, katika mikoa 23 hali ya CCM ni mbaya na inaupinzani mkali sana, kwani wakazi wa mikoa hiyo hawana imani na CCM, avumae huko ni UKAWA na Lowassa.
Pia wamegusia upande wa pili ambako ni Zanzibar, wamedai CCM Zanzibar imewaharibia mazingira kwa kuwakamata Mashehe kwa muda mrefu bila ya kuhitimisha hata ingebidi kuwaachia.
Zanzibar kuna mtihani mgumu sana alisikika mmoja wao akisema, kubwa linalotegemewa kuwashawishi wananchi ni kutumia miradi iliyokwisha na waepuke kabisa kuweka ahadi au kugusia mambo ambayo waliyawekea ahadi lakini hayakutekelezwa.