Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,175
- 143,968
Tumeisoma tu mitandaoni. Sijui nitawezaje kuiacha Uber na kuijaribu hii hata app yao sijaipakua.Hakuna aijuaye Taxify humu?
Tumeisoma tu mitandaoni. Sijui nitawezaje kuiacha Uber na kuijaribu hii hata app yao sijaipakua.
Huwa siamini sana mtu anaekuja na bei rahisi tu, Lyft huku sijaisikia kuna wengine walianza kabla ya hio Taxify wanaitwa i guess Moovn nao sijui wanaendeleaje. Waacha wajae tu mwisho watajifia soko lenyewe liko wapi?Mimi App yao nimeipakua leo. Nilianza jana na sikufanikiwa. Nikajaribu tena leo na nikafanikiwa.
Unawezaje kuiacha Uber? Bei....
Halafu Uber sasa hivi Marekani watu hawaipendi.
Lyft ndo inabamba.
Uber mwaka jana walidukuliwa halafu eti Uber wakawalipa hela hao wadukuzi ili wakae kimya.
Wadukuzi walipata access ya bank cards za watu, driver’s licenses, na kadhalika.
Uber hawako waaminifu.
Naona tu hii but kwangu mm natumia zaidi uberHakuna aijuaye Taxify humu?
Huwa siamini sana mtu anaekuja na bei rahisi tu, Lyft huku sijaisikia kuna wengine walianza kabla ya hio Taxify wanaitwa i guess Moovn nao sijui wanaendeleaje. Waacha wajae tu mwisho watajifia soko lenyewe liko wapi?
Sio waaminifu?mie uber huwa nikichukua nalala na kulala hadi kwangu salama,uaminifu huo ni hapa au huko USMimi App yao nimeipakua leo. Nilianza jana na sikufanikiwa. Nikajaribu tena leo na nikafanikiwa.
Unawezaje kuiacha Uber? Bei....
Halafu Uber sasa hivi Marekani watu hawaipendi.
Lyft ndo inabamba.
Uber mwaka jana walidukuliwa halafu eti Uber wakawalipa hela hao wadukuzi ili wakae kimya.
Wadukuzi walipata access ya bank cards za watu, driver’s licenses, na kadhalika.
Uber hawako waaminifu.
Ipo jina limenitoka.Ushindani ni mzuri. Unafanya watoa huduma wawe na adabu.
Imagine Tanesco wangekuwa na washindani....
Ila atayekuja na ride hailing app ya bodaboda na bajaji anaweza akafanikiwa sana.
Sasa hivi huwezi kuita bajaji wala bodaboda kwa kupitia app....
Pata picha kuna app ya hivyo.../
Taxify ni nzuri ila nahis wangeweka mfumo was kulipia ka Uber na kulipia kwa card iwe optional, nadhan watu wanacomplain sana kuhusu ilo ata ukipitia reviews za app downloads utaliona ilo unless otherwise gharama ni nafuu, na kingine huwez mtrack dereva ilo nalo tatizo pia...Taxify ni ride-hailing company kama ilivyo Uber, Lyft, na zinginezo kama hizo.
Ni kampuni inayotokea/ iliyoanzishwa huko Estonia.
Hapa Tanzania/ Dar nadhani ndo imeingia muda si mrefu uliopita. Nadhani ni mwezi au miezi michache sana iliyopita.
Bei zao zipo chini sana kulinganisha na Uber. Lyft wao bado hawajafika hapa Tanzania.
Kwa wasiojua, Lyft ndo mshindani mkubwa sana wa Uber kwa Marekani, ambapo ndo nyumbani mwa hizo kampuni mbili.
Hawa Taxify bado sijawatumia. Nimejaribu kuangalia kuona kama kuna madereva karibu na eneo ambalo nipo lakini sijaona hata mmoja.
Ningependa kupata maoni juu ya huduma zao kama kuna watu ambao tayari washazitumia.
Jumamosi njema.
Sio waaminifu?mie uber huwa nikichukua nalala na kulala hadi kwangu salama,uaminifu huo ni hapa au huko US
Kuna moja inaitwa Twende iko chini ya Tigo lakini bado haijulikani sana.Ipo tayari kumbe?
Inajulikana sana au bado?
Kuna moja inaitwa Twende iko chini ya Tigo lakini bado haijulikani sana.
Mimi nimetumia huduma ya Taxify mara moja. bei ziko rahisi nilitoka nae Upanga mpaka ninapoishi ilikua 6000tzs tu na dereva alikua mtu poa sana.
Changamoto ni upatikanaji wa madereva muda mwingi unaambiwa hakuna dereva jaribu tena baada ya muda. na hata ukimpata anakua yuko mbali kama 20mnts hivi. ukitaka kuitumia hii huduma usiwe na haraka.
Yeah bei poa. Uber makadirio ya nauli yangu ilikua kama 12,000 wakati Taxify ilikua 6,500.Hilo la upatikanaji wa madereva ni kweli.
Jana nimejaribu mara kadhaa na sikufanikiwa.
Nadhani ni kwa vile bado ni mpya kwa hiyo bado haina watu wengi waliojiandikisha kuendesha.
Ila bei zao ziko poa kuliko hata bajaji!!
HAPANA KAKA HUDUMA YA KUMTRACK DEREVA IPO TAXIFY. KABLA YA KUANZA SAFARI KUNA KITU HUWA KINA APPEAR AS SHARE YOUR ETA(Estimated time of arrival) kwa marafiki na watu wako wa karibu. Hivyo wanaweza kufuatilia jinsi safari yako inavyoenda na hata ukipata tatizo wanaweza kujua kwa haraka. Mfano kama haukufikishwa sehemu husika uliyokuwa unaenda. Taxify wako vizuri mno na bei zao ni nafuu ikilinganishwa na Uber gharama zao ziko juu.Taxify ni nzuri ila nahis wangeweka mfumo was kulipia ka Uber na kulipia kwa card iwe optional, nadhan watu wanacomplain sana kuhusu ilo ata ukipitia reviews za app downloads utaliona ilo unless otherwise gharama ni nafuu, na kingine huwez mtrack dereva ilo nalo tatizo pia...
Taxify ni ride-hailing company kama ilivyo Uber, Lyft, na zinginezo kama hizo.
Ni kampuni inayotokea/ iliyoanzishwa huko Estonia.
Hapa Tanzania/ Dar nadhani ndo imeingia muda si mrefu uliopita. Nadhani ni mwezi au miezi michache sana iliyopita.
Bei zao zipo chini sana kulinganisha na Uber. Lyft wao bado hawajafika hapa Tanzania.
Kwa wasiojua, Lyft ndo mshindani mkubwa sana wa Uber kwa Marekani, ambapo ndo nyumbani mwa hizo kampuni mbili.
Hawa Taxify bado sijawatumia. Nimejaribu kuangalia kuona kama kuna madereva karibu na eneo ambalo nipo lakini sijaona hata mmoja.
Ningependa kupata maoni juu ya huduma zao kama kuna watu ambao tayari washazitumia.
Jumamosi njema.