Willy T
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 252
- 91
Hivi kweli baada ya hawa MCC kukata misaada yap basi maneno kibao yameanza na sijui sababu ya haya maneno maana mwenye nacho kakataaa, sasa unamlaumu kwa kukunyima msaada wa walipa kodi wake?
Lengo langu sio hilo nlitaka tu kusema wakati watu wanasema wachukue misaada yote je?
Ni kusahau au kutifikiria?
Mmesahau net mnalalia za nani?
Je? Wakikataa kutia ARVs nini kitatokea kama sio kujipa stress tupunguze mihemko