Chip yake itakuwa in mediatek hiyoHabar zenu wakuu,,
namiliki simu aina ya Samsung ni week sasa tangu niipate tatzo linalonisumbua kipa mda inaniletea up ujumbe Unfortunately WhatsApp has stopped,
Nmejaribu Ku ireset na kudownload WhatsApp upya tatzo ndo limeongezeka kila sehemu nnayo ingia inaniambia hyo sehmu has stopped
...
Msaada kwa anaefaham jins ya Ku solve ili tatZo
RAM je?free GB 29 used GB 3
Mkuu kwanza angalia space storage ktk sim yako
Kama nafasi bado ipo tena iwe nafas ya kutosha
Ingia playstore hakikisha unaifanyia UPDATE kwanza PLAYSTORE yako
Kisha nenda SETTING hakikisha unaifanyia UPDATE SOFTWARE ya simu yako
Ukimaliza hapo delete hio watsap iliopo kisha ingia tena PLAYSTORE kui download upya
Nb—-whatasapp hiwa inaji BACKUP kama setting yako ipo ktk autoBackup
Endapo ikiji backup hio watsap hali ya kuwa sim yako haina Mcard au Storage Space ya kutosha,inafika sehem ina STUCK hio watsap hakikisha una Mcard au Phone memory storage ya kutosha
Nmegundua tatizo ni ww mwenyewe, sio simu.
Nmegundua tatizo ni ww mwenyewe, sio simu.
nmepost mkuu kuhusu storage yakeNmegundua tatizo ni ww mwenyewe, sio simu.
Hii sio s9 hata kidogonmepost mkuu kuhusu storage yakeView attachment 887264
Sent from my S9 8 using JamiiForums mobile app
Hapa umemsaidianmefanya ivyo mkuu ahsante naona imeacha ngoja nione had jion,,,maana nipishawahi kureboot baada ya siku mbili tatzo likajirudia
Sent from my S9 8 using JamiiForums mobile app
nmefanya ivyo mkuu ahsante naona imeacha ngoja nione had jion,,,maana nipishawahi kureboot baada ya siku mbili tatzo likajirudia
Sent from my S9 8 using JamiiForums mobile app
Hahaha wachina wana dhambi asee eti s9 8 dahhyo hapo bro nusu helaView attachment 887271
uwezi amin mkuu hii simu haina picha wala video hata moja,nilifuta kila kitu lakin bdo inaleta mnyau nyauReboot haisaidii kitu Mkuu
Cha muhim ni ku Update software ya simu yako,kingine hakikisha device ina storage place ya kutosha,hio simu yako inaonekana ina mzigo mkubwa saana
Jaribu kufuta App zisizo kuwa na umuhimu ktk simu yako
Pia punguza videos na picha zisizokuwa muhim ili upate nafac ya kutosha
Hiyo ni fake.free GB 29 used GB 3
inawezekana mkuu ni fake 100℅ nilibadilishana na sister nkampa tecno yangu,,nae ilikuwa inamsumbua ivi ivi nikamwambia anipe ntajua Jins ya kuilekebisha ndo maana nimeleta humu nipate msaadaHiyo ni fake.
29+3=32
Ningumu kumeza, internal storage ni 32 Gb afu free space iwe 29 na used space ni 3.
Usidanganye watu wazima.
Una maanisha system memory ni 3gb...??
Kwa s9 haiwezekani kamwe.
Natumia G920P s6 flat, total storage ni 32 gb system memory imechukua 6.78 gb.
Kwa ushauri rudisha hiyo simu sehemu ulipo inunua, coz uliuziwa kopo.
Tofauti ni ninWenzako tunatumia GBWhatsApp wewe unaangaika na WhatsApp Messenger