Watumiaji wa tecno hilo tymumelizoeaHabar zenu wakuu,,
namiliki simu aina ya Samsung ni week sasa tangu niipate tatzo linalonisumbua kipa mda inaniletea up ujumbe Unfortunately WhatsApp has stopped,
Nmejaribu Ku ireset na kudownload WhatsApp upya tatzo ndo limeongezeka kila sehemu nnayo ingia inaniambia hyo sehmu has stopped
...
Msaada kwa anaefaham jins ya Ku solve ili tatZo
Heheh... s9 ndio ikufanyie hivo???Habar zenu wakuu,,
namiliki simu aina ya Samsung ni week sasa tangu niipate tatzo linalonisumbua kipa mda inaniletea up ujumbe Unfortunately WhatsApp has stopped,
Nmejaribu Ku ireset na kudownload WhatsApp upya tatzo ndo limeongezeka kila sehemu nnayo ingia inaniambia hyo sehmu has stopped
...
Msaada kwa anaefaham jins ya Ku solve ili tatZo
me nmekutana na hilo tatzo mkuu ndo maana nmefata wajuzi humu waweze kunisaidia tatzo ni kubwa nashindwa fanya loloteHeheh... s9 ndio ikufanyie hivo???
acha masihara labda kama ni clone....
high end devices hazina ujinga huo....
Kuna simu yangu ninaitumia.... sijawahi kutana na hivyo vitu.... yaani hakuna kitu kinachonigomea.... I love my huawei flagship...
ndo maana nimesema... kwamba labda hiyo s9 yako ni fake....me nmekutana na hilo tatzo mkuu ndo maana nmefata wajuzi humu waweze kunisaidia tatzo ni kubwa nashindwa fanya lolote
free GB 29 used GB 3
cjakuelewa izo apps nilizoongeza maana saa iv hats nifungua camera au SMS za kawaida inaleta huo ujumbeSio kesi sana hao wanasema hyo ni fake wana ruhusa hyo japo wanaweza kuwa wakweli, kama kuna apps umeziongeza kabla ya whatsapp kuzingua toa moja baada ya nyngine.
Cm yako ya uwongo storage wamefojfree GB 29 used GB 3
Used gb 3???????????????free GB 29 used GB 3
cjakuelewa izo apps nilizoongeza maana saa iv hats nifungua camera au SMS za kawaida inaleta huo ujumbe