Hilo litakuwa ajabu la nane la Dunia!Tunamtaka hivo hivo, aende tu ikulu akalale
Hilo litakuwa ajabu la nane la Dunia!
Tunamtaka hivo hivo, aende tu ikulu akalale
Hilo litakuwa ajabu la nane la Dunia!
Akija kwenye kampuni yako utampataia ajira kweli?
...
3. Kusahau na speed ya kureact ktk mambo inafanya sehemu kubwa ya kazi zake zifanywe na mtu mwingine. Tazama anavyosaidiwa kupanda jukwaani, anafutwa mate, sumaye anamsaidia kwa kumuongelea... Hivi hata tukimpitisha 25-10-2015 kweli yeye ndiye ataongoza nchi au atasaidiwa na sumaye?
...
Akija kwenye kampuni yako utampataia ajira kweli?
Kwani likiwa ajabu la 8 duniani na watanzania tukaweka historia ni kosa?.
Vigezo vya kitoto sana !, hv umesahau afya ya rais wa kenya ilivyokuwa , na kwa enzi yake rais F. Roosevelt wa USA je unajua alikuwa ktk hali gani kiafya kipindi anagombea ! ?, hujasoma hata historia au tatizo ni nini !?, jaribu kuwa mfuatiliaji kabla ya kuandika ukurasa mrefu wa maelezo !, people are fed up !, muda ukifika umefika hakuna cha msalia mtume !, mtabaki kutumia taasisi za utafiti kuupotosha ukweli usiofichika !