smart4n mwanzon huwa zinaleta utata kuunganisha net had uwe mtundu kidogo,uwenda ukawa VPN hujaset au data roaming so try more au mtafute mtu mwenye utundu kidogo ataweka mambo sawa ukishindwa peleka duka lolote wanao uza sim au kwenye ofis za mitandao watakusaidia
Mkuu Nakay Boy njoo ujibu hoja ya Mkuu Central ili tupate pa kuanzia maana hizi smarthphone wakati mwingine ujuzi nazo wa kutosha hatuna lakini ufumbuzi utapatikana.