Tatizo nini msaada jamani

Tatizo nini msaada jamani

kingfisher93

Member
Joined
Aug 17, 2016
Posts
56
Reaction score
23
Nimemaliza chuo mwaka 2015 degree course wildlife mgt. Bahati mbaya sijafanikiwa kujiajiri/kuajiriwa.Nimeapply sana kwenye ma college ya tourism na wildlife_hakuna kitu.sambaza cv NGOs na mashirika yanayohusu wildlife_hakuna kitu. Nimeapply sana kazi za zoom tz, ajira zetu_hakuna kitu.Nikaomba ualimu kwenye mashule/tuition centres_hakuna kitu.Labda udereva kwa kuwa nina leseni class D_hakuna kitu.Tafuta sana ukondakta wa daladala/utingo wa magari na kuosha magari labda _hakuna kitu.Kazi za humu JF nimepita nazo sana tu za mabucha na kwenye chipsi hakuna kitu.Daaah Nakosea wapi? jamani tatizo liko wapi? hebu naombeni mnisaidie.
 
muombe mungu sana kwangu definition of life n kupambana changamoto unazokbiliana nazo ukiz shinda ndo life lenyewe.....
 
Nimemaliza chuo mwaka 2015 degree course wildlife mgt. Bahati mbaya sijafanikiwa kujiajiri/kuajiriwa.Nimeapply sana kwenye ma college ya tourism na wildlife_hakuna kitu.sambaza cv NGOs na mashirika yanayohusu wildlife_hakuna kitu. Nimeapply sana kazi za zoom tz, ajira zetu_hakuna kitu.Nikaomba ualimu kwenye mashule/tuition centres_hakuna kitu.Labda udereva kwa kuwa nina leseni class D_hakuna kitu.Tafuta sana ukondakta wa daladala/utingo wa magari na kuosha magari labda _hakuna kitu.Kazi za humu JF nimepita nazo sana tu za mabucha na kwenye chipsi hakuna kitu.Daaah Nakosea wapi? jamani tatizo liko wapi? hebu naombeni mnisaidie.

NO MATTER WHAT
USIKATE TAMAA.
 
Mi najua tatizo lilipo... Ni pm naweza kukusaidia... Itakuwa rahisi kama uko dar.
 
Dunduliza hela kidogo kidogo uanze kufanya biashara ya mtaji wa chini,mtaji wenyewe uwe kati ya 100,000/= hadi 500,000/=.
Tumia muda wako mwingi sana kufikiria biashara ya kufanya,mambo ya kuajiriwa usifikirie tena.
Kama umeiva kwenye kufundisha somo lolote kwa madogo wa O-level,maana O-level ndiyo kwenye soko kwa sababu O-level ambao ni wateja wenyewe wako wengi sana.
Tafuta dogo yeyote wa O-level anza kumfundisha bure somo moja tu unaloliweza sana,unaweza kumfundisha popote pale,iwe kwako,au chini ya mti,au kwao au hata popote pale ili mradi pawe ambapo hupalipii chochote.Dogo akiona unamfundisha vizuri atakuletea wenziye kibao,hapo ndipo utakapopata mtaji wa kufanyia biashara.
 
Back
Top Bottom