Tatizo ni nini Wadada katika hili??

Tatizo ni nini Wadada katika hili??

Mo Middo

Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
25
Reaction score
17
9cc6408426b9dc555644d5a214ddec7d.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani mdada hadi kuolewa, ungekuta katembea na MTU mmoja au wawili. Akienda sana watatu kwa nyakati tofauti.

Tofauti na sasa ambapo unawezakuta Dada hadi kufikia kuolewa, anakuwa na orodha ya watu wengi wenye kila aina ya siraha waliopita kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi tunakojoa kwenye vyoo vya kisasa hatukojoi njee kama zamani
 
Back
Top Bottom