NEW NOEL JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 863 Reaction score 409 Jun 27, 2013 #1 View attachment 99778 Ukimtazama jamaa vizuri utaona amevaa T-shirt ya CCM na anaishi katika nchi inayoongozwa na ccm. Kulala kwake tatizo itakuwa njaa na je njaa hiyo kaisababisha yeye au CCM?
View attachment 99778 Ukimtazama jamaa vizuri utaona amevaa T-shirt ya CCM na anaishi katika nchi inayoongozwa na ccm. Kulala kwake tatizo itakuwa njaa na je njaa hiyo kaisababisha yeye au CCM?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,191 Reaction score 69,712 Jun 27, 2013 #2 CcM ndiyo kirusi mpaka sasa inasuasua lakini 2015 itakuwa inepatikana na kitatoweka Tz.
M Mzee Mukaruka JF-Expert Member Joined Jun 18, 2012 Posts 710 Reaction score 394 Jun 27, 2013 #3 Wewe bwana unauliza jibu?Au unauliza makofi polisi!?
P papaa wiper Member Joined Jun 26, 2013 Posts 9 Reaction score 0 Jun 27, 2013 #4 tatizo ni ccm pamoja nahuyo jamaa kwani kama asingepokea hiyo t-shirt nakuichagua ccm yasingemkuta hayo
tatizo ni ccm pamoja nahuyo jamaa kwani kama asingepokea hiyo t-shirt nakuichagua ccm yasingemkuta hayo
Komeo JF-Expert Member Joined May 3, 2011 Posts 2,498 Reaction score 1,172 Jun 27, 2013 #5 Tatizo ni Ofisi ya Tendwa na Ofisi ya Kiravu kukosa uhuru.