citizentz Member Joined Feb 25, 2015 Posts 13 Reaction score 11 Mar 10, 2015 #1 Naomba msaada kuhusu kupotea kwa wifi kwenye Simu yangu ya iPhone 4s. Ilipotea ghafla na mpaka sasa siwezi kupata wifi wala icon ya wifi siwezi kuiclick.
Naomba msaada kuhusu kupotea kwa wifi kwenye Simu yangu ya iPhone 4s. Ilipotea ghafla na mpaka sasa siwezi kupata wifi wala icon ya wifi siwezi kuiclick.
Nyaluhusa87 JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 1,303 Reaction score 262 Mar 11, 2015 #2 Unatumia iOS ngapi?
citizentz Member Joined Feb 25, 2015 Posts 13 Reaction score 11 Mar 11, 2015 Thread starter #3 Natumai iOS 7 mkuu
Kontelo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 571 Reaction score 161 Mar 11, 2015 #4 Subiri mwlRCT aje kukusaidia Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nyaluhusa87 JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 1,303 Reaction score 262 Mar 12, 2015 #5 citizentz said: Natumai iOS 7 mkuu Click to expand... Jaribu kurestore setting Za network
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Mar 12, 2015 #6 Update hiyo ios yako iende 8 kwa kutumia itunes..
khalfan56 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 639 Reaction score 136 Mar 12, 2015 #7 try to restore sio kwenda kwenye latest ios sababu ios 8.1.3 haina jailbreak