Tatizo la wifi kwenye iPhone 4s, naomba msaada

Tatizo la wifi kwenye iPhone 4s, naomba msaada

citizentz

Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
13
Reaction score
11
Naomba msaada kuhusu kupotea kwa wifi kwenye Simu yangu ya iPhone 4s. Ilipotea ghafla na mpaka sasa siwezi kupata wifi wala icon ya wifi siwezi kuiclick.
 
Subiri mwlRCT aje kukusaidia
 
Last edited by a moderator:
Update hiyo ios yako iende 8 kwa kutumia itunes..
 
try to restore sio kwenda kwenye latest ios sababu ios 8.1.3 haina jailbreak
 
Back
Top Bottom