Nashukuru sana ila zinapatikana wapi hizo food suppliments?:A S-coffee:Kuto shika mimba kuna sababu nyingi ajaribu kutumia vyakula food suppliments kama grape vine, zinc, antilipemic tea, vega power na 7 forces zingatia kuwa hizi ni food suppliment sio dawa akitumia atapata matokeo ya kushangaza
Ahsante mkuu!kuto shika mimba kuna sababu nyingi ajaribu kutumia vyakula food suppliments kama grape vine, zinc, antilipemic tea, vega power na 7 forces zingatia kuwa hizi ni food suppliment sio dawa akitumia atapata matokeo ya kushangaza
Na huyo mwanamke akitembea nje ili aitwe mama mwanaume atajisikiaje?
Wakawaone wataalam zaidi.
Nashukuru sana ila zinapatikana wapi hizo food suppliments?:A S-coffee:
Pia kuna ADVANCED PRENATAL MULTIVITAMIN SUPPLEMENT na TRI-IRON FOLIC. Mke wangu alikuwa na tatizo ilo kwa mwaka mmoja GY wake akamwambia atumie hivyo vidonge, baada ya wiki sita tu akaconceiveKutoshika mimba kuna sababu nyingi ajaribu kutumia vyakula food suppliments kama grape vine, zinc, antilipemic tea, vega power na 7 forces zingatia kuwa hizi ni food suppliment sio dawa akitumia atapata matokeo ya kushangaza
Nenda msasani mwisho na uliza TIENS utapata. na ushauri pia unapatikana au nitafute 0718064602
Pia kuna ADVANCED PRENATAL MULTIVITAMIN SUPPLEMENT na TRI-IRON FOLIC. Mke wangu alikuwa na tatizo ilo kwa mwaka mmoja GY wake akamwambia atumie hivyo vidonge, baada ya wiki sita tu akaconceive.
Jaribu kutafuta kwenye maduka ya GNLD au baadhi ya pharmacy
↲hahaaa. Haijalishi.Care-off syndrome
Nina rafiki yangu ambaye ana mwaka wa nne katika ndoa yao ana tatizo la kutoshika mimba. Wameshaenda hospitali nne tofauti na mumewe kuchekiwa na wameambiwa wote wawili hawana tatizo lolote. Nilipomuuliza je huwa wanafanya kwenye zile siku hatari alijibu ndio huwa wanafanya kwani kila mmojawao ana hamu na mtoto kwa muda huu na hajawahi kutoa mimba maishani mwake.
Tatizo kubwa linamsumbua huyu dada ni kuwa wanataka mtoto, pia mumewe na ameshamuambia mwaka huu ukiisha kama hajapata mimba ni lazima atatafuta mtoto nje ya ndoa ili aitwe baba.
Jamani naomba mumsaidie huyu rafiki yangu kwani hajui tatizo ni nini hadi hashiki mimba, yupo radhi hata kutumia tiba mbadala/ dawa ya asili itakayomsaidia kuweza kushika mimba haraka. Nakaribisha mawazo, ushauri,..... n.k
Please majibu kwa asie na nia thabiti ya kujibu na mwenye kutaka kukebehi yataishia kutuua moyo na kutuongezea simanzi