Helicobacter pylori
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 430
- 287
Hata mim nililiwaza hili ila nitamshauri asante kwa ushauriSijawahi patwa na tatizo hilo ila nachangia tu naimani hutajali.
"Suala la kuenda hospital na kurudi na majibu kua hakuna mwenye tatizo linawezekana inategemeana na hospitali waliyokwenda na vipimo vilivyofanyika.
Kwenda kwenye hoja; Kama vilifanyika vipimo vyote muhimu kwa ngazi ya mfumo wa uzazi na uzazi kwa jinsia zote mbili na wakagundulika hawana matatizo "beyond doubt" kuna haya yanaweza tokea.
Mosi. Huenda wanakutana muda sio sahihi kitu ambacho kwa miaka mitatu sio rahisi kama ni wakutanaji wazuri.
Pili. Yawezekana Mimba hutungwa lakini haishiki na kukua inaharibika kabla ya dalili za mimba kuonekana.
Tatu. Huenda mimba inatunga, inashika ila haikui na huaribika kabla ya dalili za mimba kujitokeza.
Matatizo kama hayo kugundulika sio rahisi yanaitaji uchunguzi mujarabu na ufuatiliaji wa kitabibu wa karibu sana.
La sivyo kama hayo sio basi kuna shida katika mfumo wa uzazi na uzazi wao, yawapasa kurudi na kufanya chunguzi katika hospitali maalumu za mfumo wa uzazi na uzazi".
La kuongezea pia yawezekana Rh blood type zao pia yaweza kuwa ni tatizo especially pale mwanamke anapokua na -veSijawahi patwa na tatizo hilo ila nachangia tu naimani hutajali.
"Suala la kuenda hospital na kurudi na majibu kua hakuna mwenye tatizo linawezekana inategemeana na hospitali waliyokwenda na vipimo vilivyofanyika.
Kwenda kwenye hoja; Kama vilifanyika vipimo vyote muhimu kwa ngazi ya mfumo wa uzazi na uzazi kwa jinsia zote mbili na wakagundulika hawana matatizo "beyond doubt" kuna haya yanaweza tokea.
Mosi. Huenda wanakutana muda sio sahihi kitu ambacho kwa miaka mitatu sio rahisi kama ni wakutanaji wazuri.
Pili. Yawezekana Mimba hutungwa lakini haishiki na kukua inaharibika kabla ya dalili za mimba kuonekana.
Tatu. Huenda mimba inatunga, inashika ila haikui na huaribika kabla ya dalili za mimba kujitokeza.
Matatizo kama hayo kugundulika sio rahisi yanaitaji uchunguzi mujarabu na ufuatiliaji wa kitabibu wa karibu sana.
La sivyo kama hayo sio basi kuna shida katika mfumo wa uzazi na uzazi wao, yawapasa kurudi na kufanya chunguzi katika hospitali maalumu za mfumo wa uzazi na uzazi".
Wanadai kuwa homon zao zinakuwa haziendani hawawezi kupata mtoto kamwe hiyo ipo hata mimi nina mifano haiHayo mambo ukiyapeleka kwenye mitishamba utakuja kuliwa sana pesa maana wengi huwa wanabahatisha dawa ikikubali anajisifia.
Nikupe mfano mmoja kuna shemeji yangu kaka wa mke wangu yeye pia na mke wake walipata huo mtihani kila wakienda hospitali wanaambiwa hawana tatizo.
Mwanamke akaona bora aende kwenye mitishamba huko nako aliishia kuliwa pesa na kupewa ramli chonganishi kuwa mama wa mume wake ndio anayemroga .
Mwisho wa siku ukatokea mgogoro wakaachana, Kwa sababu ni ndoa za kiislamu kila mtu akaenda kuanzisha maisha na mwenza mwingine na hivi ninavyoandika hapa shemeji yangu ana mtoto wa kike mwenye miezi tisa na yule mtaraka wake pia ana mimba wa kujifungua muda wowote .
So sijui hapo solution ilikuwa ni nini lakini baada ya ndoa zao za pili hakuna aliyeenda hospital wala kwa mganga wa kienyeji ila mambo yamejipa yenyewe.
Hiyo inawezekana kabisa ila sharti wawe wameshapata mtoto sasa hapo napata wasiwasi kwakua hawajabahatika mtoto kupata.La kuongezea pia yawezekana Rh blood type zao pia yaweza kuwa ni tatizo especially pale mwanamke anapokua na -ve
Ebu tupatie ufafanuzi kidogo hapo kwenye kutofautiana kwa homoni?Wanadai kuwa homon zao zinakuwa haziendani hawawezi kupata mtoto kamwe hiyo ipo hata mimi nina mifano hai
Wengi hupata ugumu kwenye upatikanaji wa hata uyo mtoto wa kwanza,Hiyo inawezekana kabisa ila sharti wawe wameshapata mtoto sasa hapo napata wasiwasi kwakua hawajabahatika mtoto kupata.
Nimejua....aksanteWengi hupata ugumu kwenye upatikanaji wa hata uyo mtoto wa kwanza,
Tunawezaje kupata mawasiliano yake mkuuKuna Dr. Kapona yuko Chanika Buyuni amesaidia akina mama wengi amabao hawashiki ujauzito. Unaweza kujaribu. Wengine walikuwa na kitu kinaitwa hormonal imbalances. Ila siyo lazima naye awe na tatizo hilo. Jitahidi kumtafuta naye isikie yake.
Mwambie anitafute mimi nimpe dawa zangu ashike mimba haraka.Habarini za mchana wana jf Nina jambo kidogo nimeona nililete humu naamini nitapata ufumbuzi kupitia michango ya watu mbali mbali Nina jirani yangu ameolewa huu ni mwaka wa tatu sasa hajawah kushika ujauzito wameshaenda hospital yeye na mumewe kufanya vipimo lakin wakaambiwa hakuna tatizo lolote jamani naombeni kama kuna mtu ambae ameshawahi kupata tatizo Kama hili anielekeze aliponea wapi ili nimpe msada huyu jirani yangu au yoyoye anaejua dawa za mitishamb anielekeze pia zinapopatikana au hao watu wanaotibu haya matatizo ili tumsaidie jirani yetu asanteni nawasilisha
Asante mkuu mziz mkavu nitampa mawasiliano yakoMwambie anitafute mimi nimpe dawa zangu ashike mimba haraka.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Unapatikana wapi mkuu?Mwambie anitafute mimi nimpe dawa zangu ashike mimba haraka.
Ukiwa na Shida yoyote ile. Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Ametumia matibabu gani mpaka sasa?Unapatikana wapi mkuu