Tatizo la vionda/vipele sehemu za haja kubwa

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,824
5,581
Ninasumbuliwa na hilo tatizo kwa mda mrefu sana japo ni la msimu uja na kupotea.

Vinasababishwa na nini na ipi tiba yake sahihi sijawahi kulipeleka hilo tatizo hospitalini.

Kuna mtu kanishauri nisichambie maji nitumie toilet paper je inaweza kuwa njia sahihi
 
Huo ni ugonjwa qa bawasori
Usababishwa na
1:njoo kigumu
2:kuharisha sana
3:kutumia nguvu sana wakati wa kunya
Tiba
1:kuwa na choose laini kwa kula vyakula vyenye nyuzi nyuzi, matunda.,ugali wa Dona, mapapai ,mboga za majani
2:punguza matumiZI YA NYAMA YA COW
3:fanya mazoezi kuruhusu mzunguko wa damu katika mishipa ya mkunduni
4:epuka kunyanyua vitu vizito
5:kaa kwenye maji ya moto yanayotoa mvuke
6:tumia barafu kujikanda upunguze uvimbe
Nb:ugonjwa ni bawasiri
 
Nashukuru kwa Masada ndugu
 
Back
Top Bottom