Sababu nyingine mna dindisha dindisha ovyo hata sokoni,kwenye daladala,barabarani kila sehemu mkipishana na sketi mna dinda,ndio hapo mnapoingiza mkono mfukoni mkabana pembeni,utaacha kupinda
Uume huweza kupinda kwako sababu ya kuvaa nguo za ndani za kubana #chupi pia tabia ya kujichua hupelekea kupinda
Madhara yake: Kuleta hali mfadhaiko kwako kuona maumbile hayako sawa kama inavyotakiwa na pia huweza sababisha matatizo kwa mwanamke koz uume uliopinda always huwa unasugua sehem 1 tu..... Niishie hapo
Nini kinatokea mpaka uume unapinda? Nini madhara yake kwenye mapenzi? Je wadada wanapenda uume uliopinda? Na wanafika kileleni? Na utaufanyaje urudi kwenye hali yake?
Sababu nyingine mna dindisha dindisha ovyo hata sokoni,kwenye daladala,barabarani kila sehemu mkipishana na sketi mna dinda,ndio hapo mnapoingiza mkono mfukoni mkabana pembeni,utaacha kupinda
Zile enzi ambazo wakati wa kujisaidia Haja ndogo tulikuwa hatufungui vifungo vya kaptura Bali tunapandisha tu upande mmoja was kaptura na kumpitisha mjuba wetu huko afanye vitu vyake vya kutoa mkojo? Unakumbuka?
Ninaamini kuwa kutokana na Kuwa viungo vyetu vilikuwa ndio vinakua na havijakomaa sawasawa, ule upande uliokuwa unapenda kumpenyeza mjuba wako spate kutoa mkojo, basi sasa utakuwa amepindia upande huo huo!
Sio kilema wala kasoro mkuu. Ili mradi mjuba anasimama na kutenda kazi zake kisawasawa, huna Hana ya kuwa na hofu mkuu...! My two cent.