Usithubutu kabisa kutumia kahawa.Mwambie afanye urafiki na unywaji kahawa Tena ile chungu iliyokolea very conctrated!!
Akiichemsha pamoja na majani ya chai itakua POA Sana bila sukari!!
Kunywa asubuhi na jioni na mchana baada ya mlo!vikombe hasta viwili na unywe baada ya kuamka TU kabla hujala chochote!
Uric acid ni matatizo sana!
Habari za jumapili wana jukwaa wote.
Naomba niende MOJA kwa MOJA kwenye mada, Nina ndugu yangu anasumbuliwa Sana na Uric Acid.
Ni mwezi sasa amekuwa wa kukaa na kulala tu uku akilalamika maumivu makali anayoyapata kwenye Maungio ya mwili wake.
Ameshakwenda hospitali na kufanyiwa vipimo NDIO akaambiwa ana Uric Acid, Amepatiwa dawa za mwezi mzima na zinaisha tarehe 6 mwezi wa pili. Lakini mpaka Leo hii ni kama hakuna afadhri toka ameanza matumizi ya dawa hizi.
Pamoja na dawa pia kuna vyakula ametakiwa kuacha kuvitumia Mara MOJA kama Samaki, Nyama, maharage n.k amefanya hvyo na sasa anatumia mboga za majani na mrenda pekee lakini bado maumivu ni pale pale.
Naleta kwenu tatizo ili niweze kupata msaada wa
Nini tufanye, Dawa na hata matibabu yoyote ambayo yataweza kumponyesha.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu
Nawasilisha
Mpe pole yake mgonjwa mwambie asubuhi akiamka atumie nusu kijiko cha chapa simba kwenye maji ya moto kikombe anakoroga vizuri anakunywa alafu usku anatumia nusu kijiko cha unga wa mkaa kwenye maji ya moto zoezi liende kwa siku 10 tuHabari za jumapili wana jukwaa wote.
Naomba niende MOJA kwa MOJA kwenye mada, Nina ndugu yangu anasumbuliwa Sana na Uric Acid.
Ni mwezi sasa amekuwa wa kukaa na kulala tu uku akilalamika maumivu makali anayoyapata kwenye Maungio ya mwili wake.
Ameshakwenda hospitali na kufanyiwa vipimo NDIO akaambiwa ana Uric Acid, Amepatiwa dawa za mwezi mzima na zinaisha tarehe 6 mwezi wa pili. Lakini mpaka Leo hii ni kama hakuna afadhri toka ameanza matumizi ya dawa hizi.
Pamoja na dawa pia kuna vyakula ametakiwa kuacha kuvitumia Mara MOJA kama Samaki, Nyama, maharage n.k amefanya hvyo na sasa anatumia mboga za majani na mrenda pekee lakini bado maumivu ni pale pale.
Naleta kwenu tatizo ili niweze kupata msaada wa
Nini tufanye, Dawa na hata matibabu yoyote ambayo yataweza kumponyesha.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu
Nawasilisha
Hiyo tiba Unauza au?Ninayo tiba sahihi tuwasiliane 0711553826.