Tatizo la umeme Wilaya ya Kigamboni

Tatizo la umeme Wilaya ya Kigamboni

ashecknazi

Member
Joined
Aug 26, 2017
Posts
16
Reaction score
11
Habari wana jamvi,
Kumekua na sintofahamu kwa wakazi wa wilaya ya kigamboni kuhusiana na kero ya kukatika kwa umeme kila siku na kila wakati kwa takriban wiki tatu au mwezi mmoja.

Tatizo hili linaathiri shughuli za kila siku za kujitafutia kipato na usumbufu mkubwa kwa wakazi wa meneo haya!

Cha kushangaza Tanesco hawatoi tamko rasmi kuhusu sababu ya tatizo hili huku kukiwa na visingizio kadha wa kadha kila siku!

Kwa anayefahamu kiini Cha tatizo hili atujuze wadau tafadhali
 
Tatizo kigamboni hakuna logo go hata mmoja anayeishi huko
 
Back
Top Bottom