yaser
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 1,361
- 299
Jaman tatizo la umeme kigambon limeshakua sugu na wala hatuelewi linasababishwa na nini na kadri siku zinavyoenda hali inazidi kuwa mbaya leo tu wamekata zaid ya mara nne na mpaka muda huu naandika hii thread tuko na giza. Inafika muda nashindwa kuamini kama kigambona kuna viongozi, lakini pia najiuliza hawa wafanyakazi wa tanesco ya huku familia zao ziko wapi kwa sababu sidhan kama wanaweza kuvumilia haya mbele ya familia zao.yaan ni kero kero kero mpaka basi. Walau basi mtudanganye na visababu dunia ya leo inataka mawasiliano sio mnaamua tu nyie kufanya mnavyotaka au mpaka watu waandamane ndio mtatambua tatizo? Dr. Faustin upo kweli? na haka kajimbo unakataka tena 2015 au ushashiba? Wananchi wako wanateseka wasaidie japo kwa hili kiongozi.