Tatizo la umeme Hai

babu na mjukuu

JF-Expert Member
Jun 23, 2016
3,910
6,688
Hivi hili tatizo la kukatika umeme hovyo wilayani Hai litamalizika lini?
Kero hii imezidi kiasi sasa mtu unashindwa kwenda hata Salon kunyoa kama hakuna jenereta.

Umeme unakatika kila baada ya muda mfupi na mara nyingine unakatika na kurudi ndani ya dakika moja. Kisha hazipiti dakika kumi unakatika tena.

Mfano mzuri leo hii tangu saa moja usiku huu umeme umekatika hii ni Mara ya nne. Ukitazama ni ndani ya dakika 37. Hivi ni kwamba Tanesco wanataka kutuzidishia umasikini kwakutuunguzia vifaa vyetu?
 
Kwani mbunge wenu nani?
Tatizo mnachagua wabunge vilaz.a so isomeni namba tu sasa maana hakuna namna!
 
Dah, mkuu huku kwetu HAI umeme ni tatizo mno, ni kweli jioni hii karibia mara nne ushakata. Kuna uwezekano mkubwa wa kuunguza vifaa vya ndani
 
Back
Top Bottom