Huku mwanza nmewakuta hotel ya isamilo Lodge. Ni albu. Wanalala wawiliwawili. Ni shida tupu. Hii clabu haina pesa
Nilimshangaa sana Mohamed Dewji kutaka kuwekeza pesa zake Simba. Ni mara mia akaanzisha timu yake binafsi, akaikuza baada ya miaka minne itakuwa ligi kuu, ikiwa na viwanja vyake, Jezi zake, Wachezaji wake, nk na kuwa Big brand ya Soka hapa Tanzania na Ukanda wa Afrika.
Azam wameweza na wataweza zaidi na zaidi. Kwa nini MO Dewji asiige mfano huo?
Nilimshangaa sana Mohamed Dewji kutaka kuwekeza pesa zake Simba. Ni mara mia akaanzisha timu yake binafsi, akaikuza baada ya miaka minne itakuwa ligi kuu, ikiwa na viwanja vyake, Jezi zake, Wachezaji wake, nk na kuwa Big brand ya Soka hapa Tanzania na Ukanda jwa Afrika.
Azam wameweza na wataweza zaidi na zaidi. Kwa nini MO Dewji asiige mfano huo?
Ishu kwa Mo Dewji kuitaka Simba, kwanza yeye ni simba damu, pia ni mfanyabiashara anayeona fursa za kupata faida, pili ni kuwa simba na yanga zina FANBASE kubwa sana! Viongozi wa hizi timu wangekuwa smart, kuna hela nyingi sana!Alishawahi kumiliki timu inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania Bara.. Ilikua inaitwa African Lyon.. Baada ya msimu mmoja, ikamshinda.. Akaipiga bei kwa Rahimu Zemunda.
Ukiondoa Klabu ya Azam, ambayo uendeshaji wake upo kisasa, klabu zingine zote kubwa hapa Tanzania plus TFF zinaendeshwa kihuni, kienyeji na kiujanja ujanja tu. Hazina vision wala mission, zipo zipo tu. Simba na Yanga, zote ni pasua kichwa. Zinaingiza pesa nyingi sana lakini zina mifumo mibovu balaa ya kutumia pesa.
Tatizo siyo pesa mimi nazungumzia club kuendesha kienyeji. Wachezaji wanacheleweshewaje mishahara wakati anayelipa ni mdhamini ambye ni Kilimanjaro? Kuchukua ubingwa simba msimu huu ni ndoto za mchana kweupeee