Ndugu wana Jf,
ni ukweli usiopingika kwamba wapenzi na wafuatiliaji wa siasa hapa tanzania mawazo yao walio wengi yamekuwa yakifuata upepo kulingana na mazingira yaliyojitokeza. Hili linamaanisha kuwa watu wamekuwa watumwa wa mawazo (fikra). Haya yote nayasema kwa sababu nimekuwa nikiona hata humu jf watu wana comment kulingana upepo wa siku hiyo ila kesho wanabadili mawazo kwasababu nani kaongea.
Wengi wanachama wa chadema tumekuwa na mapenzi makubwa sana na baadhi ya viongozi wetu wa kitaifa na kudhani kwamba wao hawakosei, na ikitokea mtu akaja na hoja tofauti za kukosoa viongozi wetu basi huyo ataonekana ni wa ccm mwenye nia mbaya na chadema. Ila ikumbukwe kwamba hata hawa viongozi ni binadamu wanamakosa yao ambayo yanahitaji ushauri.
Ninaimani hata wajumbe wa kamati kuu wapo watu wa namna hii wa kuangali hiki kimesemwa na nani nikubali hata kama ni uongo au nikatae hata kama ni ukweli. Ukweli wa haya ni pale kwenye kikao cha tarehe 22 kulikuwa na pande mbili zinazokinzana.
kuhusu swala la zitto na kitila akitoke mtu wa kuwa na mawazo tofauti na walio wengi ya kumtetea zitto ataonekana mwana ccm sasa uhuru wa mawazo uko wapi?
watu wamekuwa wakimuandama zitto kabwe kuwa ni msaliti na kumuonyeshea chuki hadharani tena bila ushahidi ila sijawahi kusikia kupitia vikao vya chama hawa watu wameshugulikiwa, mfano Lema kamchafua zitto kuwa anakataa posho huku akila rushwa kuto ccm kaambiwa alete ushahidi hana sasa na huu tuuite usalti?.
kuna viongizi walishiriki kusambaza ripoti ya siri ya zitto na baada ya kuoneka ni ya uongo mbona kwenye kikao hawakushugulikiwa? Au zitto hakuwa kiongozi anayechafiliwa? Au anayechafuka ni mbowe na slaa tu?.
Makundi nani ya chama ni kitu cha kawaida sana na ule mkakati ulikwa wa kujiimali kwa watakaokuwa wapinzani wao, sasa mlitegemea waanze kuwasifia kama si kuainisha mapungufu ya watakaokuwa wapinzani wao?.
kama baada ya kugundua mkakati huo mkaona si vyema mbona hamjachukua jukumu la kuwaita na kuwakanya huko huko bila ya kuleta mazara kwa wananchi kama yanayotokea huko kigoma, rukwa, tabora na shinyanga pamoja na kuleta sintofahamu kwa wananchi nchi nzima?
hata kama tatizo ni huo waraka mbona ulikuwa haujamfikia zitto na kutoa maoni yake? Kama alilengwa ila hajui sasa tatizo liko wapi au kuna mengine yaliyojificha?
Naheshimu busara za zitto alizoonyesha akiwa na kitila. Chama kimeona sasa ni kazi yenu kurudisha imani kwa wanachama walioguswa na hili mfano wanaoendelea kunguza kadi na kubomoa mashina ya chadema.
Msigwa nakuheshimu hufanani na mipasho kama kweli unaona mwenzio kakosea mshauli na sio mjungu utaendelea kubomoa kwa wale wanaomini unachokiongea.
Kwa mwanachama wa kweli hawezi kushabikia majungu huku chama kinatekea.