Tatizo la PC kuzimika

Tatizo la PC kuzimika

Kingswat

Member
Joined
Dec 4, 2014
Posts
26
Reaction score
3
PC yangu ilizimika ghafla,nikaiwasha haikuwaka badae nikatoa beteri nikaiunga direct badae Ikawaka
Ikaleta mandishi haya....
BOOTMGR is missing......Press Ctrl+Alt+Del to restart
nikafanya kama ilivoelekeza lakini bado tatizo lilelile yanajirudia maandishi Yale.

kwa wataalam was PC tatizo linaweza kuwa ni nn,ushauri labda..
Nawasilisha jamani
(PC aina ya Samsung)
 
Yani ilkua kwenye sleep mode ww ukatoa battery hvyo inashindwa kuendelea
 
Unachotakiwa kufanya tafuta cd ya windows unayotumia then usi install but repair windows
 
Back
Top Bottom