Sim yako ingekuwa ni samsung ingekuwa rahisi ila hizo sumsung sijui singsang za kichina sijui ila
Hili ni tatizo dogo unaweZa kulisolve mwenyewe. Nakumbuka nilishawahi kusolve hili tatizo kama hili , jama unayo e mail ya app store yako which means unaweza kubadilisha na ikatumwa kule kwenye e mail . yako.