km iliingia maji inaweza ikawa tatizo hata hivyo tafuta digital meter weka kipimo kweye alama ya diode ondoa betri pima ukipima range kati ya 485-495 ukigeza kupimo inatakiwa isisome km nihivyo basi itakuwa software problem for more details call me on 0717009369