Tatizo la ngozi

ommy Jy

Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
6
Reaction score
2
Jamani naombeni msaada kwa mtu kama alishapata tatizo kama langu napata maumivu ya ngozibkwnye mapumbu to inakua na maumivu bado sijapata dawa hapawashi ila maumivu kama kunawekundu kama kumeungua au kuumia kwa aliewahi kupitia hilitatizo anaejua dawa msaada
 
JITAHIDI KUVA KUFULI MARA MOJA USIRUDIE MPAKA UIFUE, JITAHIDI KUJIKAUSHA MARA BAADA YAKUTOKA KUOGA AU KUSTANCHI. TUMIA CREAM MAALUM YA KUONDOA FANGASI. USAFI NA KUWA MKAVU SEHEMU NYETI NI MUHIMU
 
Inaweza ukawa umeambukizwa magonjwa ya zinaa,nenda hospital mkuu
 
JITAHIDI KUVA KUFULI MARA MOJA USIRUDIE MPAKA UIFUE, JITAHIDI KUJIKAUSHA MARA BAADA YAKUTOKA KUOGA AU KUSTANCHI. TUMIA CREAM MAALUM YA KUONDOA FANGASI. USAFI NA KUWA MKAVU SEHEMU NYETI NI MUHIMU
Dr unanishauri ni tumie cream gani Dr
 
Hapa huwa ni mchanganyiko wa bakteria na fangusi. Cheki PM.
 
Mba hao nenda duka la dawa kuna tube watakupa ukipaka siku moja tu wanaanza banduka kama magamba.
Hakikisha unavaa nguo za ndani zilizokauka, na uwe unabadili nguo za ndani sio unaivaa week nzima.
Pia nyoa nywele huko oakae kukavu
 
Paka dawa ya maji inaitwa Scaboma, inauzwa 8000, ila sasaivi nimehamua sivai boksa kabisa Kiwanda kipate hewa,

Kingine ukioga au ukitoka kujisaidia, jitaidi huwe unajikausha maji mkuu
 
Mba hao nenda duka la dawa kuna tube watakupa ukipaka siku moja tu wanaanza banduka kama magamba.
Hakikisha unavaa nguo za ndani zilizokauka, na uwe unabadili nguo za ndani sio unaivaa week nzima.
Pia nyoa nywele huko oakae kukavu
Shukrani bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…