Mzee mimi mwili unawaka moto muda wote hasa mchana, kizungu zungu muda wote, hakuna dawa ninayosikia, hospitali nimeshakimbia sana karibu zote hadi muhimbili, nimepima karibuni magonjwa yte duniani ila majibu yte hakuna shida, hvyo vidonge ulivyomention nimekula mpaka basi na madozi mengine lukuki lakin mpaka sasa hakuna nafuu na sasa ni zaidi ya miezi 6 hayo matatizo ninayo nishakimbia sana nyumba za ibada still wapi, yaani mpaka najiuliza au kuna mahali nilikula tunda kimasihara mwenye mzigo kagundua ndo anaamua kunitesa.