Tatizo la mtandao wa Halotel

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
625
Wakuu habari za wiki end,

Nimeamka na kukuta Halotel SMS hususani za WhatsApp hazitoki kabisa na Network yao ipo chini. Je hii inaweza ikawa ni hujuma ya upinzani?

Mwenye jibu tafadhali
 
au wamegoma cos mabisi wao wameshtakiwa??
 
Wakuu habari za wiki end,

Nimeamka na kukuta Halotel SMS hususani za WhatsApp hazitoki kabisa na Network yao ipo chini. Je hii inaweza ikawa ni hujuma ya upinzani?

Mwenye jibu tafadhali

Upo mkoa gani?

Au umeishiwa kifurushi?
 
Huu mtandao ulikuwa mzuri katika siku za mwanzo za uhai wake ila sasa hivi umekufa
 
wafanyakazi wa tigo na voda bana tangu muambiwe mnapunguzwa wafanyakazi basi kutwa kutunga figisu kwa halote acheni umbuzi mbona rai tunatumia halotel fresh tuu
 
Toka asubuhi sijachomoka mtandaoni kwa hisani ya HALOTEL kwa 1000 toka jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…