Tatizo la mtandao katika simu ya iphone

Shosha99

New Member
Joined
Apr 24, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Nina simu yangu aina ya iphone 4, inakamata mtandao nikiwa sehemu zenye mnala wa lain husika... Naomba msaada kama kuna mtu anajua tatizo laweza kuwa ni nn... 😿🙏🙏
Au kama kuna kitu kinahitajika nibadilishe ili niweze pata mtandao sehemu zote kama zamani...
 
Unapouliza kitu hebu jaribu kumjengea picha nzuri mtu anayetaka kukusaidia ajue tatizo vizturi
 
Unapouliza kitu hebu jaribu kumjengea picha nzuri mtu anayetaka kukusaidia ajue tatizo vizturi

Post yake nimeirudia rudia ila siielewi..!! Nauhakika hata yeye akirudia kuisoma itamvuruga pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…