Wakuu nimekuwa nikikabiliwa na matatizo mawili mosi modem yangu vodafone inaconnect kwa tabu sana after many trials chakushangaza zaidi before nlikuwa natumia na line ya airtel lakin recently hata kudectet airtel settings hamna instead inadectate vodacom! Pili laptop haidectate battery insead kwenye icon ya battery kuna cross sign even if ukicharge haioneshi flowage of charge!
Mimi unanichanganya hapo kwenye kudectet sielewi maana ya hilo unalozungumzia hapo,au unamaanisha haiitambui,lkn hilo tatizo laweza kuwa la virusi,jaribu kuiskani uone matokeo!!