ABBY HAMZA
Member
- Aug 28, 2016
- 66
- 34
Jaman naombeni msaada jinsi ya kuiondoa mistari iliyojitokeza ktk screen ya pc baada ya kukandamizwa kwa bahati mbaya. Kama kuna mtaalam anaejua jinsi ya kutatua hili tatizo msaada pliz
ThanxWaone wataalamu wabadili screen/display
Spo dar ila nipe contact nikija ntakutafutaNdg unapaswa kubadilisha Kioo tu katika computer yako tuu.
kama upo Dar tuwasiliane nikubadilishie bei haitazidi 150000/=
Spo dar ila nipe contact nikija ntakutafuta[/QUOTE
Namba zangu ni 0658 02 03 61
Badilisha kiooJaman naombeni msaada jinsi ya kuiondoa mistari iliyojitokeza ktk screen ya pc baada ya kukandamizwa kwa bahati mbaya. Kama kuna mtaalam anaejua jinsi ya kutatua hili tatizo msaada pliz