Tatizo la mahusiano

Yani nishashindwa hata kumfatilia sana maana huwa anasema kama kweli unanipenda nikwa nini uni gasi gasi sasa hapo ndoo huwa nachokaa JULIETH MRINGO. Lyamber.
Achunguzwe nin tena wkt ushaambiwa anapigwa mizinga daile kuonana hataki? wewe jamaa wewe ni unachunwa...tu..
 
Last edited by a moderator:
Year!!! hata mimi nimeona bora nirudi kijijini coz maisha ya mjini na mabinti wa mjini yani ni nomaaa ile ile odg.
Piga chini fasta kimeo hicho
 
Last edited by a moderator:

mizinga kitu cha kawaida bana la msingi uhakikiahe nawe una mgegeda bana. papuchi for sale siku hizi
 
Pole,pesa si mapenzi...mwenzio yupo after money ndo mana anaku-demand that much.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…