banburydude
Member
- Jul 8, 2019
- 54
- 72
Jamani haya maji ya tope yanayotoka bombani ni maeneo yote ya jiji la Dar au ni baadhi tu ya maeneo? Hii ni hatari, DAWASA fanyeni something kurekebisha hii hali.
Chimbeni visima muache kulalamika
Mimi mwenyewe nipo na ndoo yangu kichwani hata bomba sina😂😂😂Uko sahihi mwamba kuepuka hii mambo ni bora mtu kuwa na Kisima chako Ila tatizo ni njuluku siyo wote tuko kama wewe mwamba shida ndipo ilipo, concern yako ni sahihi kabisa.