Habari zenu wanaJF doc's.,
Naombeni msaada in that thing, imetoka kama ni fungus flani hivi juu ya kichwa cha u*me, yaani inakuwa ka punye flani, ikipona kuna kuwa ka kagamba kalaini but ukikatoa panaanza upya.,
Just wanned to know if this Ant-bacteria medicine can cure this thing..!
Any aidia plz!
GOOD DAY ALL,
Habari ya week end members. ninaomba kujuzwa dawa na matibabu ya tatizo la fungus (any kind of fungus) au kama kuna specialist wa ili eneo mnijulishe.
binafsi ninatatizo la fungus ambao nikitumia dawa wanapotea wote na it takes about a month or two tatizo linajirudia. nimetumia dawa nyingi na mara nyingi tu.
msaada jamani.
dear kiroboto,
1. fungus wapo kwenye bega chini ya shingo, kuna mpauko wa ngozi
2. doctor alisema ni aina ya candid (sijui kama nimeandika sahihi)
3,. nimetumia dawa za kuapa nyingi zenye suffix.... zole mfano; clotrimazole(kupaka), fluconazole (kunywa) etc na nyingi ni creams ambazo hupelekea kuifanya ngozi kuwa laini sana. zinapotea ila baada ya muda panajirudia