bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,343
- 25,329
Kuongea binafsi na Mola wakoIbaada za usiku zikoje?
Daah, bange tena![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niliwahi kupitia hali hyo, nikashauriwa nitumie bangi, kweli nilitumia kama wiki hv then usingizi ukawa unakuja wenyewe. Mpaka leo sijapata tena hiyo shida na sijavuta bangi tena baada ya tatizo kuisha.
Amini kwamba.Daah, bange tena![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ndio dawa halisi tena nzuri binafsi jioni lazima nitembee angalau 1hr kama Sina mda wa jogging kama ninao basi lazima nikate km 20Jitaid jioni fanya mazoezi ya kutosha ,uchoke kabisa,utapata usingizi,shushia na glass mojaa ya mtindi
Una uoga ondoa huo uoga hali ya uoga inakukuta unapotaka kulala au ikifika jioni unawaza kukosa usingizi pia ondoa hyo hali ya ww hadi unywe pombe ndyo upate usingiz kikate kabisa hicho kituWadau naombeni msaada mwenzenu yamenifika. Nakosa usingizi kabisa. Nikinywa pombe ndo napata usingizi. Pombe za kila siku ukweli sizitaki. Naombeni msaada maana nateseka sana
Ni kweli kabisa. Yaani huwa ikishafika jioni huwa nawaza sana. Na hata nikiwa kitandani huwa najiulizaga leo nitalala kweli. Nikiingia kitandani saa tatu au nne sitapata hata tone la usingizi hata ule wa kustuka stuka hapana kabisa. Mpaka kichwa kinapata moto kabisaUna uoga ondoa huo uoga hali ya uoga inakukuta unapotaka kulala au ikifika jioni unawaza kukosa usingizi pia ondoa hyo hali ya ww hadi unywe pombe ndyo upate usingiz kikate kabisa hicho kitu
ibada kama unaifanya kwa mungu asiyeokoa, asiye na uwezo kujitetea hadi atetewe na wanadamu, haikusaidii. lala tu usingizi ndugu unapoteza muda. njia ni Yesu Kristo pekee ndiye alikufa kwa ajili yako, kwengine kooote ni kujilisha upeopo. na utaenda jehanum ya moto wa milele.Uislam ni mwema sana,haujaacha kitu kwenye maisha yetu ya kika siku.
Tunaofata mafunzo ya Kiislam tukikosa usingizi tunafurahuhi sana, tunapata wasaa mkubwa wa kufanya ibada za sala na nyiradi za usiku kwa utulivu.
Usilazimishe kulala, usingizi ukiwepo utalala tu, nyanyuka usali sana.
Usinywe pombe kuutafuta usingizi, rudi kwa Muumba wako kwa kuzidisha ibada.
Mkuu sio wewe tu hii hali inanitesa sana nikitaka kulala jua ni saa 5 ila naamka saa 6 au 6 kasoro hapo silali mpaka saa kumii au 9 na nikilala ni 1hr nikiamka mchana lazima nilale ila ni 2hr.Wadau naombeni msaada mwenzenu yamenifika. Nakosa usingizi kabisa. Nikinywa pombe ndo napata usingizi. Pombe za kila siku ukweli sizitaki. Naombeni msaada maana nateseka sana
Yaani unafurahi kukosa usingizi? Ushawahi kufika siku mbili bila kulala kabisa? Najua kasheshe nalopitia ndio maana nimekuja kuomba msaada humu. Usicheze na kukosa usingizi
Mkuu sio wewe tu hii hali inanitesa sana nikitaka kulala jua ni saa 5 ila naamka saa 6 au 6 kasoro hapo silali mpaka saa kumii au 9 na nikilala ni 1hr nikiamka mchana lazima nilale ila ni 2hr.
so kuna mda inanilazimu kushtua kidogo ni niweke sauti ya mziki.