kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,630 Reaction score 19,016 Jan 13, 2014 Thread starter #21 georgeallen said: kwa hiyo hesabu zako bado ni za kUONGEZA tu Click to expand... Ndio nakamilisha kuongeza, suala la kupunguza mungu anajua zaidi.....
georgeallen said: kwa hiyo hesabu zako bado ni za kUONGEZA tu Click to expand... Ndio nakamilisha kuongeza, suala la kupunguza mungu anajua zaidi.....
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,630 Reaction score 19,016 Jan 13, 2014 Thread starter #22 Maysally said: kawaida sana hiyo hata mimi nilikuwa hivyo kifupi hamna dawa avumilie tu Click to expand... nimekuelewa.....
Maysally said: kawaida sana hiyo hata mimi nilikuwa hivyo kifupi hamna dawa avumilie tu Click to expand... nimekuelewa.....
Nyalotsi JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 6,989 Reaction score 5,068 Jan 14, 2014 #23 swtlady said: Amen!hii dua na iwe ninavyopenda hesabu za haraka.nikipiga two then one nafunga mafile. Click to expand... Hakuna kitu natamani kama atakayekuwa mke wangu azae mapacha! I love twins pamoja na chalenge zake.kuna siku kwenye pilika za kazi tulipata mama aliyejifungua wanne! Niliwatamani sana wale watoto,loh!
swtlady said: Amen!hii dua na iwe ninavyopenda hesabu za haraka.nikipiga two then one nafunga mafile. Click to expand... Hakuna kitu natamani kama atakayekuwa mke wangu azae mapacha! I love twins pamoja na chalenge zake.kuna siku kwenye pilika za kazi tulipata mama aliyejifungua wanne! Niliwatamani sana wale watoto,loh!