OCC Doctors
Senior Member
- Jul 20, 2018
- 114
- 172
Matatizo ya kifua wakati wa ujauzito huweza kutokea kwasababu mwili wako unakua na mabadiliko wakati wote wa ujauzito, na mabadiliko kadhaa yanaweza kusababisha maumivu kwenye kifua chako.
Kuongezeka kwa tumbo la uzazi kunaweza kuweka shinikizo kwenye misuli ya upumuaji inayofahamika kama kiwambo cha moyo au ''diaphragm'.
Matiti yako yanakuwa makubwa, na sehemu ya mbavu zako hutanuka. Mabadiliko haya yote mawili huweza kusababisha shinikizo na maumivu pamoja na kupumua kwa shida.