Wakuu nina iphone 4 wadogo zangu walichezea sasa kuwaka haiwaki ila ukichomeka charger inaonesha apple logo bila kuwaka tatizo lake nini? msaada wakuu...
Wakuu nina iphone 4 wadogo zangu walichezea sasa kuwaka haiwaki ila ukichomeka charger inaonesha apple logo bila kuwaka tatizo lake nini? msaada wakuu...
hiyo simu ulinunua kwa mtu na ilikua imeshawahi kufunguliwa sasa usiogope mkuu.hapo ni kuna kijinati flani ivi cha kufungia battery fundi hakukiweka.nenda kwa fundi mwambie akufungie icho kitu apo.atakuchaji elf 10 only.Asante