habar,
nimekuwa nikisumbuliwa kwa tatizo la figo kwa miezi 5 sasa kila nikipima
napewa dawa lakin tatizo linaendelea dozi ikiisha, ninasumbuliwa sana
na kuvimba miguu nilipima renal test mara ya mwisho ikaonyesha 204.4
creatinine nikapewa dawa zifuatazo.
1. lasix
2. preonsolone
3. amplix
4. ciprofloxin
nikaambiwa tatizo likiendela nikaonane na doctor muhimbili anaitwa dr.
linda yeye ni mtaalamu wa figo, lakini kwa sasa nipo udom na ninafanya
mitihani ya mwisho u.e naomba ushauri nitumie dawa gani tena au
nifanyaje manake miguu bado inavimba na tatizo inaonekana limeendelea.
NB: nilichukua vipimo vya echo nipo sawa, x-ray kifua nipo sawa.
thanks in advance.
Mkuu shalet Pole sana kwa hayo matatizo yako ya Figo nina dawa za aina 2 za Tiba Mbadala ukiweza moja kati ya hizo dawa 2 Tumia kwa muda wa siku kama 10 kisha nenda tena hospitali ukapime ilihabar,
nimekuwa nikisumbuliwa kwa tatizo la figo kwa miezi 5 sasa kila nikipima napewa dawa lakin tatizo linaendelea dozi ikiisha, ninasumbuliwa sana na kuvimba miguu nilipima renal test mara ya mwisho ikaonyesha 204.4 creatinine nikapewa dawa zifuatazo.
1. lasix
2. preonsolone
3. amplix
4. ciprofloxin
nikaambiwa tatizo likiendela nikaonane na doctor muhimbili anaitwa dr. linda yeye ni mtaalamu wa figo, lakini kwa sasa nipo udom na ninafanya mitihani ya mwisho u.e naomba ushauri nitumie dawa gani tena au nifanyaje manake miguu bado inavimba na tatizo inaonekana limeendelea.
NB: nilichukua vipimo vya echo nipo sawa, x-ray kifua nipo sawa.
thanks in advance.
Mkuu steveachi hujambo lakini? Habari za Masiku?pole sana mkuu kwa tazizo hilo,nakuombea kwa mungu inshallah akupe wepesi upone kabisa,ngoja nikuitie dr. MziziMkavu anaweza kukupa mwangaza nn cha kufanya,pole sana kaka
pole sana mkuu kwa tazizo hilo,nakuombea kwa mungu inshallah akupe wepesi upone kabisa,ngoja nikuitie dr. MziziMkavu anaweza kukupa mwangaza nn cha kufanya,pole sana kaka
habar,
nimekuwa nikisumbuliwa kwa tatizo la figo kwa miezi 5 sasa kila nikipima napewa dawa lakin tatizo linaendelea dozi ikiisha, ninasumbuliwa sana na kuvimba miguu nilipima renal test mara ya mwisho ikaonyesha 204.4 creatinine nikapewa dawa zifuatazo.
1. lasix
2. preonsolone
3. amplix
4. ciprofloxin
nikaambiwa tatizo likiendela nikaonane na doctor muhimbili anaitwa dr. linda yeye ni mtaalamu wa figo, lakini kwa sasa nipo udom na ninafanya mitihani ya mwisho u.e naomba ushauri nitumie dawa gani tena au nifanyaje manake miguu bado inavimba na tatizo inaonekana limeendelea.
NB: nilichukua vipimo vya echo nipo sawa, x-ray kifua nipo sawa.
thanks in advance.
Unaweza kutumia Majani ya Basil na Asali. Uliza Kariakoo. Pia supu ya maharage mekundu ni tiba kamili. Kwa details pitia: Mafanikio Na Afya Njema: Je Una Matatizo Ya Figo? - Home Remedies for Kidney Stone
Mkuu
shalet
Pole sana kwa hayo matatizo yako ya Figo nina dawa za aina 2 za Tiba
Mbadala ukiweza moja kati ya hizo dawa 2 Tumia kwa muda wa siku kama 10
kisha nenda tena hospitali ukapime ili
kujuwa je bado una matatizo ya Figo? ukitumia Dawa moja kati ya hizo
mbili kwa muda wa siku 10 na umekwenda
Hospitali wamekupima na kugunduwa bado unaumwa Figo tumia dawa ya pili
siku 10 tena kisha nenda ukapime Figo kujuwa je bado unaumwa na hayo
matatizo ya Figo? ukisha uje hapa unipe Feedback. Dawa zenyewe hizi hapa
:
Dawa ya Figo Fanya hivi (1) [FONT=arial
black]chukua ndevu za Mahidi mabichi achemshe
kisha achuje maji yake yakishapoa anywe ujazo wa kikombe cha kahawa
asubuhi na mchana kwa muda wa mwezi kwa uwezo Mwenyeeziş Mungu utapona.
[/FONT]
Dawa ya Maradhi ya Figo (2)
Dawa ya Maradhi ya Figo Kunywa mkojo wako mwenyewe kwa
muda wa siku 10 tu zinatosha kila siku asubuhi ukinge mkojo wako
mwenyewe kipimo cha glasi 1
kabla ya kula kitu unywe kisha ukae baada ya saa 1 unaweza kula chakula
chako cha kawaida
ufanye hivyo kwa muda wa siku 10 kisha nenda Hopitali kwa Daktari
kupima utakuta huna tena
Maradhi ya Figo Tumia hiyo Dawa kisha uje hapa unipe feedback.
Muhimu unapotumia Dawa zangu acha kutumia Dawa za
hospitali Tafadhali sana usichanganye
Dawa.
Mkuu
steveachi
hujambo lakini? Habari za Masiku?
Dawa ya Figo Fanya hivi (1) achukue ndevu za Mahindi mabichi achemsheMkuu MziziMkavu vipi ikiwa mkojo hautoki? Nina mgonjwa ambaye figo zake zimefeli, ana siku 3 sasa hajapata haja ndogo. Je kuna tiba ya tatizo la figo katika hatua hiyo?
Mwana-JF yeyote mwenye ujuzi, utaalam au uzoefu wa tatizo hili naomba msaada kwenu. Mgonjwa yuko mkoani, amelazwa hospitali.
Endelea kutumia Dawa za hospitali kisha uje hapa utupe Feedback. Ninakutakia kila la kheri inshallah.mkuu MziziMkavu asalaam aleykum
nashukuru kwa ushauri wako ulionipa kwa mazingira ya chuo nilianza na dozi ya mkojo kwa siku 10..... kama nilivyokuwa nikutumia dawa za hospitali niliendelea vizuri lakini ile hali ikarudi tena safari hii nikiwa dar es salaam nilishindwa dozi hiyo ya pili kwa sababu ya mazingira ikanibidi niende clinic ya figo MNH nilifanyiwa vipimo ikaonekana bado kuna tatizo kwenye figo nikapewa dozi ya miezi miwili
kama ifuatavyo.
atorvastatin, lasix, enalypril, losartan potassium na prednsolone
pamoja na vipimo vya figo nilipima hiv i & ii na hepatitis b & c sikuwa na tatizo
nashukuru sana kwa ushauri wako ninaendelea na dozi hii yahospitali mpaka mwezi ujao .
Mungu akubariki kwa muda wako unaotumia kutoa ushauri hapa jf.
thanks alot!!!!
Dawa ya Figo Fanya hivi (1) achukue ndevu za Mahindi mabichi achemshe
kisha achuje maji yake yakishapoa anywe ujazo wa kikombe cha kahawa
asubuhi, mchana na usiku kwa muda wa mwezi kwa uwezo Mwenyeezi Mungu utapona.
Mwache atumie dawa yangu na hiyo ya Hospitali pamoja itamsaidia inshallah..............Asante sana kwa kujibu haraka. Lakini hapo juu umeonya, mtu asichanganye dawa zako na za hospitali. Itakuwaje kwa huyu ambaye bado amelazwa?
Mwache atumie dawa yangu na hiyo ya Hospitali pamoja itamsaidia inshallah..............
Mwambie anywe Maji ya Uvuguvugu kwa wingi itamsaidia pia hayo matatizo ya figo.Asante Mkuu. Barikiwa sana. Wacha sasa nisake wachoma mahindi maana kipindi hiki mahindi mabichi na nadra. Shukrani kwako MziziMkavu
Kila la kheri inshallah tumuombee Mgonjwa apone unipe feedback mgonjwa anaendeleaje kiafya?MziziMkavu asante sana. Nafuata ushauri wako, naamini atapata ahueni.