D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,880 Reaction score 12,635 Jun 7, 2018 #1 vipi nitalimaliza wakuu, pamoja na tumbo kujaa gesi mara kwa mara.
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Jun 7, 2018 #2 1. Kunywa maji litre 2 kwa siku 2. Matunda na mboga 3. Fanya mazoezi, kimbia au tembea kwa dakika 45-60
1. Kunywa maji litre 2 kwa siku 2. Matunda na mboga 3. Fanya mazoezi, kimbia au tembea kwa dakika 45-60
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,597 Reaction score 29,530 Jun 7, 2018 #3 dos.2020 said: vipi nitalimaliza wakuu, pamoja na tumbo kujaa gesi mara kwa mara. Click to expand... Alafu jitahidi kila siku asubuhi wakati wa kuswaki achama mdomo toa ulimi nje pitisha mswaki hadi hapo kooni utapike hewa kama mara 3 hivi kwa mda wa siku 3 akimalaza lete mrejesho hapa
dos.2020 said: vipi nitalimaliza wakuu, pamoja na tumbo kujaa gesi mara kwa mara. Click to expand... Alafu jitahidi kila siku asubuhi wakati wa kuswaki achama mdomo toa ulimi nje pitisha mswaki hadi hapo kooni utapike hewa kama mara 3 hivi kwa mda wa siku 3 akimalaza lete mrejesho hapa