S Stany JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 277 Reaction score 42 Oct 29, 2011 #1 Salaam wana Jf simu yangu ni nokia 2730-classic. bluetooth haifanyikaz bila kuweka line ya voda . Mimi ni mtumiaji mzuri wa tigo! naomba mnisaidie namna ya kusolve hili tatizo.
Salaam wana Jf simu yangu ni nokia 2730-classic. bluetooth haifanyikaz bila kuweka line ya voda . Mimi ni mtumiaji mzuri wa tigo! naomba mnisaidie namna ya kusolve hili tatizo.